hujafuzu hata uwe nayo,nataka wa miaka 3
Haya thanks twin ndo nasaka,maisha mema na miss neddy bila kuweka @Bila ya kupoteza bando, nimesema kaNma ulivosema teh teh
Haya thanks twin ndo nasaka,maisha mema na miss neddy bila kuweka @
twin kumbe amekuandalia maji ya moto,nimetupia pilipili humo,usioge
oga uone mziki twin,usijaribu
Mtu wa Pwani,
Kwa mujibu wa Lunyungu et al kula huo ugali ni matumizi mabaya ya pesa za Umma!
We are now sinking really low! kiasi cha kutojua pamoja na kuwa rais pia ni Mzazi, Mume, Mjomba, Baba Mdogo, Mkwe etc
Koh koh koh