Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,231
- 26,750
Pole binti naona unakohoa
Nitapata koflyn hapo nitulize kifua lol
Pole binti naona unakohoa
Nitapata koflyn hapo nitulize kifua lol
Haya thanks twin ndo nasaka,maisha mema na miss neddy bila kuweka @
Koflyn utakunywa yote wewe ngoja nikupe Goodmonirng
miss ........
Mkuu.......naona kitu cha hapa down kimetick.........kila la kheri........
https://www.jamiiforums.com/mahusia...846-mimi-vs-mke-wangu=malaika-vs-shetani.html
.......................
Hahaaaaa leo nachekaje..niandikie na kutwa mara ngapi nijue
nambie naona umepewa tenda hapa ya ukaguzi
Hahaaaaaaaaa uwiii nimecheka sana aiseeee lol
Pacha wangu anataka kufata nyayo zangu...... Lazima niwe front line
Kuna mtu umemlenga si umuibukie tu???
Uzuri wako unajua kusoma katikati ya mistari.........kuna kimwanatetere kinapigiwa chabo.........