Natafuta mchumba mwanaume

Natafuta mchumba mwanaume

Nipigie Kwa Mawasiliano Zaidi, Nambari; 0758487151.
 
Swali rahisi saana hili...ingalikuwa mimi ndio Evagrace ningalikuambia kuwa alikuwepo kwenye Air Malaysia iliyopotea!!

Hahahahaaaa. haya mkuu umenifurahisha mpaka nahisi umeniongezea siku za kuishi.
 
Last edited by a moderator:
Miaka 30 bado haujaolewa!!!!!!

Wanawake wabichi kila siku wanazaliwa tuje kwa 30..

Wewe shughuli yako imekwisha. .Itabidi ubakie kutoa msaada kwa wanaohitaji michepuko..
 
Ivi good life ni pesa pekee....la...
How about reasoning?
Kuweza kumaintain hela si kazi ndogo kama reasoning ni ya ovyo... N tuwe wakweli hakuna good life bila pesa, itabaki mawazo tu na majungu kila siku... afu still kua na reasoning nzuri si lazima mtu awe kamaliza advanced diploma au degree, wapo waliomaliza ila in reality ni vilaza tu....
 
Hili ni tatizo sana katika nchi zetu masikini. Kila mtu anaona pesa nyingi ndo good life...
Bila pesa kuna maisha gani sasa hapo? na si kwenye nchi zetu maskini, nje watu wako serious kwenye kutafta pesa na wanajua sana tu kua bila pesa maisha hayaendi asikudanganye mtu nimekaa sehemu nyingi nimeona.. Hayo maneno ati maisha mazuri si pesa hua ni ya maskini kujifaruji tu, au kupiga kelele daily ati wote tutaenda kaburini, hilo tunalijua ila maisha bila pesa ni matatizo tu..
 
Du!! Umenichekesha kweli bro!! Ila swali lako zuri sana.

Ni bora kujiridhisha manake siku ya siku ukiuliza utajibiwa ooh nilikuwa nacheza rede ooh baiskeli kumbe mtu kashafumuliwa kila kona. Na pia ni kwa usalama wa mtumiaji kwani unaweza kupotelea huko!
 
Sijui Watu Wanamatatizo gani na Umri ? Umri ni namba tu nyie ndio mnaofanya Wanawake Wengi Waolewe hata na Magumegume eti kukimbizana na Umri ?? kitu gani Bwana Huyo Dada Miaka 30 bado Mdogo Mno kwa karne ya leo na Umri huo ndio wanaotuliaga na Ndoa zao , chunguza asilimia nyingi walioingia Ndoani kwenye 20's wote wamerudi Single , acheni kukatisha Wanawake Tamaaa
 
Hahahahahaha usiniue mbavu zangu mie

Yah! unakuta wakati mwingine muoaji aliekuwa serious enzi zileeee alipigwa chini kisa mambo yake yalikuwa hayajakaa sawa. Sasa wale waume za watu waliokuwa wanaficha Pete za ndoa mfukoni nakudanganya waoaji sasahivi wake zao wameshtukia mchezo wamewataiti ndani ya ndoa, unatukumbuka sisi akina NAMTUMBA sasa mambo yetu yamekaa kwenye mstari tunamuona mzee coz nasisi sasa tunapesa tunataka under 20's, hatimae ndo tunaanza kuona mabango ya matangazo kama ya waganga wakienyeji, Mara nataka mwaminifu, Mara alie seriously aniPM, Mara sijui nataka anaejua kupenda, sasa tunajiuliza umepita koote wakuwa seriously uje kumtoa JF are you kidding me?.
 
Miaka 30 bado haujaolewa!!!!!!

Wanawake wabichi kila siku wanazaliwa tuje kwa 30..

Wewe shughuli yako imekwisha. .Itabidi ubakie kutoa msaada kwa wanaohitaji michepuko..

punguza ukal wa maneno kk japo unaonekana kuwa na ukwel fulan
 
Wana JF namimi natafuta rafiki wa kiume kwa lengo la kuwa na mahusiano yenye kuelekea uchumba.

WASIFU WANGU


UMRI:30
DINI:MKkristo
ELIMU: Degree ya kwanza
KAZI:Mwajiriwa
NAPENDELEA:Kuangalia movies, kusikiliza nyimbo/ kusoma tenzi zake na kusafiri.

NAYEMTAFUTA

UMRI:Kuanzia miaka 34 na kuendelea, awe Mkristo, Elimu kuanzia Advanced diploma na kuendelea. Awe ameajiriwa au amejiajiri shuguli halali na pia awe anaishi DAR.

Ni PM kama tu upo serious.

Sio lazima uolewe tafuta jamaa akuzalishe ulee wanao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom