Natafuta mchumba mwanaume

Natafuta mchumba mwanaume

Miaka 30 bado haujaolewa!!!!!!

Wanawake wabichi kila siku wanazaliwa tuje kwa 30..

Wewe shughuli yako imekwisha. .Itabidi ubakie kutoa msaada kwa wanaohitaji michepuko..

Huna vigezo we kazee
 
Sijui Watu Wanamatatizo gani na Umri ? Umri ni namba tu nyie ndio mnaofanya Wanawake Wengi Waolewe hata na Magumegume eti kukimbizana na Umri ?? kitu gani Bwana Huyo Dada Miaka 30 bado Mdogo Mno kwa karne ya leo na Umri huo ndio wanaotuliaga na Ndoa zao , chunguza asilimia nyingi walioingia Ndoani kwenye 20's wote wamerudi Single , acheni kukatisha Wanawake Tamaaa

umenena vyema mkuu maana kuna watu humu wanadiscourage wengine hakuna mfano utafikiri wao ndo wameshawin life kwani wangapi wameolewa wakiwa wadogo na saiv ndoa zinawatesa??
 
Miaka 30 bado haujaolewa!!!!!!

Wanawake wabichi kila siku wanazaliwa tuje kwa 30..

Wewe shughuli yako imekwisha. .Itabidi ubakie kutoa msaada kwa wanaohitaji michepuko..

mkuu acha kumkatisha dada tamaa ndoa haina kuwah wala kuchelewa unaweza ukawahi ikakakutesa mbaya na wapo wapo wanaolewa ata na 35 na maisha yanaenda vzr hakuna mfano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom