Habari za wakati huu wakuu,
Mimi najitokeza kutafuta mchumba (binti) mwenye asili ya Mishamo, Katumba au Ulyankulu.
SIFA ZAKE
★ Umri 20-26.
★Awe mweupe kiasi (asiwe mweusi wala mweupe sana).
★Awe mrefu kiasi (asiwe mrefu sana wala mfupi sana).
★Awe na mwili wa kawaida, asiwe mnene sana
★Awe mwelewa na mnyenyekevu (kama ilivyo asili ya wanawake wa maeneo hayo. Asiwe mwenye itikadi za 50/50).
★ Awe mkristo na mcha Mungu
★ Elimu form 4+
★ Awe na asili ya kuwa mkweli na muwazi.
FIFA ZANGU:
★ Umri 34 (japo naonekana dogo).
★ Rangi - Mweusi.
★ Mwili - mwili wa kawaida.
★ Urefu wa wastani.
★ Mimi ni mkweli sana.
★ Dini - Mkristo.
★ Siendagi kanisani ila sina shida na mtu wala sina tabia yoyote ya kihuni.
★ Elimu - degree (sijaajiliwa na sina mpango wa kuajiriwa, nafanya biashara).
Kwa aliyetayari, kama tukielewana, tukaendana na tukakubaliana naahidi kumuoa, sitamdanganya.
Karibu PM iko wazi, uwe serious na uwe unamaanisha kweli.