Natafuta Mchumba/mume

Njoo kwangu Fide nikupe poza la moyo mpenzi huyo "wifi" alikuwa msanii tu hana lolote hiyo figa 8 aliyokuwa anasema si ajabu ni 9 au 1 kabisa

Poleee samaki poleee kwa kuchanganywa changanywa na wifi hewa
 
Hahahahahaha ngoja nipate Valuer kwanza naona sasa umeanza kunipagawisha.
Hiyo single taamu sana vp ile ya BATA albaat
 
Jamani mweleweni mwenzenu kasema waliachana au Mungu hakupenda so ndoa hakuna tena ndo maana yuko hapa kikazi zaidi kuhakikisha anapata soul mate wake. Jamani as it is, whatever happened, i can imagine the state of this lady at the moment. so please please kuweni serious, msiendelee kumuumiza jamani. niko kiutu zaidi, or call it girl support huh!
 
camel.

kama kweli ndoa ilikuwa ifungwe february hii 2010, na kagundua february hii kuwa hakuna ndoa tena, kweli inauma sana na unaweza kuchanganyikiwa kabisa maishani mwake kama Mungu hatakufunika na rehema zake.

namashauri aache hatua za zimamoto kukabili hali ya kuvunjika uchumba iliyompata, badala yake atulie na kutafakari yaliyotokea. kama ni yeye ndiye aliyejikwaa, amrudie Mungu na atubu dhambi zake na kumwomba msamaha mchumba wake (japo awez kuwa na hasira sana naye). kama si yeye mwenye makosa, basi yote amwachie Mungu, asihukumu (ili asije kuhukumiwa), atulie na azidi kumuomba Mungu atampa mchumba mwingine.

nionavyo mim kama ni kweli uchumba umevunjika ghafla, basi anachukua hatua za pupa sana

otherwise asichezee watu akili hapa JF!
 
Hivi ni wewe akilikichwani au mwingine. kumbe sometimes una akili kweli na namna hii, yani point tupu tangu mwanzo hadi mwisho. Umenifurahisha kweli leo kunywa banta baridi hapo ulipo kwa afya yangu.
I agree with you 102%
 
TISS wanaendelea ku-update taarifa zao..:D

Na hii imekaaje wajameni? inawezekana tunazugana kumbe watu wana update data zao? na huenda sasa data zipo based kwenye hizo sifa, mweeee! hivo wameona wanaume ni target kwa sasa. Fidel weka angalizo juu ya hilo. Abdul katahadharisha hapa you never know!:rolleyes:
 
[B said:
Nkashilingi[/B];781700]Hello wana jamii, sio masihara jamani hapa najua wote ni watu wazima na wenye akili timamu.

Wasifu wangu.
Jinsia-Kike
Umri-29
Elimu-ya chuo naamanisha graduate
Rangi-kahawa
umbo-No 8 mnene
Dini-Christian
pombe-naonja
kabila-chaga
Ni mwajiriwa kwenye sekta binafsi na mshahara wa kawaida, mambo mengine tutafahamishana kama kutakuwa na maswali zaidi,

wasifu ninaopendelea.
Jinsia-Mwanaume
jisia-30-45
Elimu-lazma awe ni graduate na kuendelea,
Dini-mkistu

Awe mpenda maendeleo, na pia awe ni mtu anaemjua mungu.

Ni hayo tu kwa maswali zaidi waweza kuni email glory.gregory@yahoo.com
naomba kuwasilisha.

Jina: NkaSHILINGI
Kabila: Mchagga

Mimi simo hapo kabisa
 
Fidel80 ama kweli ulikuwa unasubiri threat ipostiwe tu ukatia timu. Mwandike email halafu mkishamalizana mseme ndiyo thread hii itoke. Au vipi mtoa hoja umeshafika kingi?
 
Wanakufanyaje wanakupa ugonjwa wa ngozi au flu au kuwashwawashwa au chafya nyingi au vipi???? Tufafanulie

Hahahahahah naona soni kuandika

Mambo ya mtarimbo.......shapeless etc etc
 
[

Awe mpenda maendeleo, na pia awe ni mtu anaemjua mungu.

.[/QUOTE]

Kipengele hicho binti wa kichaga laziima kiwepo. mCHAGA WA WAPI MANAKE WACHAGA NDIO ZENU HAMTAKI NASIKIA WA KISHUMUNDU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom