Natafuta Mchumba/mume

Hello wana jamii, sio masihara jamani hapa najua wote ni watu wazima na wenye akili timamu.

Wasifu wangu.
Jinsia-Kike
Umri-29
Elimu-ya chuo naamanisha graduate
Rangi-kahawa
umbo-No 8 mnene
Dini-Christian
pombe-naonja
kabila-chaga
Ni mwajiriwa kwenye sekta binafsi na mshahara wa kawaida, mambo mengine tutafahamishana kama kutakuwa na maswali zaidi,

wasifu ninaopendelea.
Jinsia-Mwanaume
jisia-30-45
Elimu-lazma awe ni graduate na kuendelea,
Dini-mkistu


Awe mpenda maendeleo, na pia awe ni mtu anaemjua mungu.

Ni hayo tu kwa maswali zaidi waweza kuni email glory.gregory@yahoo.com
naomba kuwasilisha.
Is this the specification of a machine [equipment] or homosapien male????
What is worth looking for when looking for a partner????? compatability, understanding, high esteem,caring/loving !!!!!! makosa mengi hufanyika katika kutafuta mwenza na ndiyo maana marriage nyingi siku hizi zinaflop within no time.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom