Natafuta "MCHUMBA/MKE" lengo NDOA

Sognsvann

Member
Joined
Apr 3, 2025
Posts
49
Reaction score
114
Habari.
Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mahusiano ya kudumu "NDOA NA KUJENGA FAMILIA BORA PAMOJA".
Awe na miaka kati ya 22 hadi 33.

NB: Kama yupo mwenye uhitaji wa dhati basi tuwasiliane kwa njia ya pm ili tufahamiane na kuona kama tunaweza kutengeneza mahusiano bora na hatimaye tuweze KUJENGA FAMILIA BORA pamoja.
Nipo kwenye late 30's, mkristo mkatoliki, graduate, na pia nina kibarua cha kunisaidia kuendesha maisha yangu.

KARIBU SANA
 
Mwaka 2025 ulikuwa kwenye early 40's
Mwaka 2026 upo late 30's

Kwanini unaongopa??


 
 
Bro ushamchomolea battery shemegi
 
😂😂😂
 
Video assistant referee V.A.R😂😂
 
JF VAR 🔥
 
Sema mtu kama huyu anastahili ban kabisa. Anaharibu jukwaa.

Cookie
 
Tangu mwaka jana April hajapata mtu Mungu ana watu wengi ila hapati......

Itakua ana vipengele sana huyu
Mwezi wa 9 pia alirudi tena kutafuta mchumba,

JF VAR CHECK

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…