Bint mkwel
Member
- Oct 27, 2015
- 12
- 2
Watu hawako serous so Imetosha.
Thanx
Thanx
Maliza chuo kwanza dadaangu we bado mdogo sana. Subiri umalize chuo na ukishapata kazi utapata bwana mwenye heshima. Huyo unaemtafuta sahiv we ndo unasoma atakunyanyasa sana.
#busara.za.naantombemushi#
Hahahah hii ndo JF mkuu ni dunia nyingine.Mmmh! Majina mengine humu JF ni mtihani kwa kweli.
Kwa uzuri wao
Kwa mali zao
Kwa nasaba zao
Kwa dini zao
Habar ndugu zangu!
Kichwa cha habari hapo juu chahusika, mimi ni bint wa miaka 21yrs nipo dar,
ni mwanachuo wa mwaka wa2,
sio mrefu sana wala co mfup pia mwembamba, rangi maji ya kunde
sifa za nimtafutae
miaka 23-27
awe mfanyakazi au mfanyabiashara
awe mkazi wa dar
mkweli, mkarimu na anaejali,
lazma we muislam mwenye hofu na mungu
mpenda maendeleo
NB:kwa aliye na nia tu ani PM
matus sihitaj tafadhal.
Thanx.
Kwa uzuri wao
Kwa mali zao
Kwa nasaba zao
Kwa dini zao
Je wewe si miongoni mwa watoto wa mama Salma? Sifa zote ninazo, so kama vipi njoo uwe mke wa pili upate Nusra ya kweli @