Natafuta mchumba lakini uwe unasoma DUKE

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
kama unasoma duce halafu upo single naomba tuwasiliane...
 
Last edited:
If at all you are serious ingekuwa bora kama ungeenda kwenye network ya watu wa Duke, hapa ni kama unatafuta out of range.
 
Ndio nilikuwa namaanisha hicho chuo.thanks 4 the link.

Mazee kwanini usiweke tangazo hapo chuoni? lets say kwenye website ama mbao za matangazo hapo Duke...maana JF kuna wadada wapo Kyela, Dar wengine Sikonge utakuwa umepunguza sana sample size!
 
Mazee kwanini usiweke tangazo hapo chuoni? lets say kwenye website ama mbao za matangazo hapo Duke...maana JF kuna wadada wapo Kyela, Dar wengine Sikonge utakuwa umepunguza sana sample size!

Nashukuru kwa ushauri..ila kwenda kuweka tangazo ni miyeyusho zaidi.ila nia yangu ni kuoa mwalimu ndo maana nimependekeza duke.
 
kaka nakusoma koote tanga hukweza kuopoa mtoto pale majani mapana?

Mkuu hata kama ningeopoa najua asingeningojea hadi sa ivi..ila jamaa wananishauri nikirudi niende duke mwenyewe kuwinda pale ndo itakuwa makini:)
 
Mkuu kwani waliosoma DUCE wana sifa gani za ziada au tofauti na wa vyuo vyingine??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom