Natafuta mchumba hapa Jf chit chat

Natafuta mchumba hapa Jf chit chat

Qixima mQiqa

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Posts
178
Reaction score
20
Natafuta mchumba ila awe na sura ya kikauzu hata nikiwatambulisha rafiki zangu washindwe hata kumtongoza
 
mh....mabwaku...ukimpata usisahau kumtambulisha na kumleta tumfunze!
 
Hii sifa nadhani Madame B inamfaa,maana kauzu mpaka kwenye majibu
 
Last edited by a moderator:
mmhh habari zenu chit chatters? kha!
 
Majibu yote hayo mliomjibu mtoa mada, hata mtoa mada hajajitambulisha jinsia yake! Au siku hizi mtu akitangaza tu kutafuta mchumba ni must awe mwanaume?
 
Majibu yote hayo mliomjibu mtoa mada, hata mtoa mada hajajitambulisha jinsia yake! Au siku hizi mtu akitangaza tu kutafuta mchumba ni must awe mwanaume?
kama kusikia husikii hata kuona nako shida?soma comments zangu ndio utaelewa vizuri jinsia yangu
 
hivi wadada kwa nn hamkemei hili?...siku hizi mnatafutwa kama mzigo uliopotea...MCHUMBA ANATAFUTWA...tena kwa herufi kubwa!..boh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom