Natafuta mchumba awe Bikira

Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na ElimuAwe mwa inayozidi form 4

Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara

Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate
kwani lazima upate mia bwana?
 
Jamani,hodi humu jamvini, nimekuwa nikifuatilia saana magreat thinkers na nimeona nijiunge ili nipate mawili matatu kutoka kwenu,hongereni kwa mawasiliano na ushauri wa kujenga,hakika naomba mnipokee na nitajifunza mengi na kushirikishana yale niliyo nayo!
Asanteni
 
Mimi nimempata huyo mwenye sifa hizo, ila na mimi ameniagiza kwamba, yeye yupo tayari kuolewa ila na yeye anahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo!
1. Mwanaume awe na pesa, amnunulie gari la kutembelea kila sehemu, ili asije tembea juani weupe ukapotea akapoteza ndoa yake!

2. Mwanaume ambae hajawahi kufanya mapenzi na mwanamke yeyote (bikira)

3. Hayupo tayari kupima kwa kuwa wote hawajaguswa
4. Asiwe mweusi
5. Asiwe anashika simu yake wala kupokea inapopigwa, kwani yeye hatofanya hivyo pia
6. Biashara atafanya, ila anapenda biashara ya saloon na kufanya massage
7. Awe shabiki wa man u!
8. Asiwe chini ya umri wa miaka 33
wewe mkali
 
Mke mwema lazima uhangaike mkuu hawapatikani kukiwa mezani na kikomputa chako eti aje kwa mtindo huu ahaaaa labda vumilia ila tambua hizo bikra zipo za bandia
 
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara
Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate
nakushauri upinguze,ibaki hiyo yenye red!pia na wewe sema umejiandaa andaaje
 
hizo sifa wewe unazo? hasa ya ubikira, je wewe ni bikira, usipende kubebesha mzigo wengine ambao hata wewe huuwezi
 
huwezi kupata, labda mwenye bikra ya bandia
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazoAwe bikiraUmri: 22-28Awe Muaminifu na mcha MunguHajatoga masikioAwe mweupeAwe na Elimu inayozidi form 4Awe mwalimuAwe hapendi kuvaa surualiAwe hapendi kuvaa mawigiAwe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumbaAwe tayari kuwa locatedAwe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoanaAwe anapenda watoto waisopungua 4Awe anapenda kupikaAwe anapenda kufanya biasharaAwe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHDAwe tayari kusafiri kibiasharaHizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwaNashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate
 
Mwana hiyo bikira hapo ndo pagumu,ila kumbuka bikira zipo hata za bandia, kitu tit kama unachana makaratasi kumbe feki...think twice.
 
Bikra hatafutwi,kuoa bikra ni bahati.rejea ROSA MISTIKA-E.KEZILAHABI.
Kaka mke hapatkani JF,na kwa sifa hzo labda tukupe udongo umfinyange mwenyewe.tafta used yenye nafuu ujiolee yaishe.
 
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara
Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate

Punguza viwango vyako vya mchumba umtakaye, vingineyo utaishia ukapera kwa maisha yako yote hapa duniani maana ni nadra sana kumpata mchumba kama huyu umtakaye.
 
Kumbuka ata malaya na machangudoa walizaliwa na Bikra!!! au unataka tu upatesifa ya kuwa na wewe umentoa mtu bikra?? kwanza za kichina zimejaa saaaana......bt ucjali waweza pata bhaana,,,,,ata me natafuta girlfriend wa kuanza naye maisha ila si chagui....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom