Mbona nilisikia huko Iringa ni hadimu sana kwa sababu wanamatumizi mengi.Huku iringa ndo usiseme yamejaa mnoo yaan hivyo vitoto kila wiki vinazaliwa ni vingi mnoooooo
Fuga Kanga, hawa ndege wakisikia mshtuko tu ,wanapiga kelele kuliko hata mbwa unaowatafutaHabari mimi ni mkazi wa Dar es salaam,Temeke,natafuta mbwa wadogo (puppy)wa kike na kiume,wa bei ya kawaida tuu,si lazima mbwa awe hawa brand name,sijui G.sherphad..mbwa mbwa tu..atakaeniamsha wakija waizi na mimi ntatumia silaha zangu za jadi
Mbona nilisikia huko Iringa ni hadimu sana kwa sababu wanamatumizi mengi.
Fuga Kanga, hawa ndege wakisikia mshtuko tu ,wanapiga kelele kuliko hata mbwa unaowatafuta
Thubutuu nimepita iringa nikakaa kama wiki moja bt sjaona hata mbwa mmojaHuku iringa ndo usiseme yamejaa mnoo yaan hivyo vitoto kila wiki vinazaliwa ni vingi mnoooooo