Natafuta mbwa kwa ajili ya ulinzi nyumbani

Natafuta mbwa kwa ajili ya ulinzi nyumbani

bluebahari

New Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Wadau habari zenu?

Natafuta mbwa mdogo mwenye umri kati ya miezi 3-4 atakayeweza kunifaa kwa ajili ya ulinzi nyumbani.

 
Fafanua aina gani ya mbea, mbwa koko, german, belgian, billdog, ridgeback au! Unaweza kuja inbox
 
Mwenyezi MUNGU aliyekuumba ndiye mwenye uwezo wa kukulinda wakati wowote na mahali popote...........mkabidhi MUNGU maish yako upate amani na faraja rohoni.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom