Natafuta mbwa aina ya German shepherd

Natafuta mbwa aina ya German shepherd

Ninao wawili

Kila mmoja nauza 5.8 mil

Kama uko serious tufanye biashara.
Hawa hapa
2018-04-24-11-54-13.jpg
2018-04-24-11-46-09.jpg
 
Subiria siku ya ' maandamano ' tarehe 26 April 2018 watapatikana wengi sana tena bure tu ambao watakuwa wametelekezwa na ' Mapolisi ' huku wao wakitoka nduki / wakikimbia nguvu ya Umma itakayokuwepo.

Ntakuwa makini
 
Puppy wa miez 4 wapo wanne, wawili (madume) hawa naweza kukuuzia

Kila mmoja utapata kwa 2.5 mil

Yupo pia jike mmoja wa miaka 2, na ana ujauzito.
Huyu anaenda 6.2 million

Unaeza mnunua huyu ukapata puppy wa kutosha
Hivi mpo serious na hizo bei au mnatizingua?
2. Something
 
Hizo Bei Zingekuwa Zajulikana Kitaa Huku Watu Wenye Mbwa Wangeheshimika Zaidi Ya Wenye Mandinga
 
Hivi mpo serious na hizo bei au mnatizingua?
2. Something
Ndo maana nmesema!

Kama unahisi hiyo bei nnayouza ya 2.5 mil@puppy ni gharama sana.

Nenda kajaribu pet shop yoyote hapa mjini,

ukaulizie bei ya German Sherpherd (Long coat) alafu uone kama utapata.

Ukipendelewa zaid utauziwa 3.5 mil@puppy

Hii bei nauza ni sawa na Bure tu.
 
Ndo maana nmesema!

Kama unahisi hiyo bei nnayouza ya 2.5@puppy ni gharama sana.

Nenda kajaribu pet shop yoyote hapa mjini,

ukaulizie bei ya German Sherpherd (Long coart) alafu uone kama utapata.

Ukipendelewa zaid utauziwa 3.5 mil@puppy

Hii bei nauza ni sawa na Bure tu.
Dah aise kumbe kuna jamaa alikuaga nao lakini alikua anawauza bei ndogo kweli kumbe wanabei hivyo
 
raia wanashangaa bei mbwa wanabei ni biashara kama biashara ingine kimzaha mzaha ukiambiwa bei unaweza kataa lakini ndio bei zenyewe kucheza kwenye milioni ni kugusa tu kuna jamaa mmoja yeye ndio nilikutaga kwake bei inaafadhari laki 4.
Ni sawa na ndala nyeupe ni ndala kama ndala nyingine ila mabishoo wamezifanya zipande bei
 
Natamfa mbwa aina ya German sherpherd long coart

Na hivyo vyeupe
Bei maelewano
Kuna jamaa ni Dr of veterinary medicine nimemtumia tangazo lako amesema anao wako installed na micro chip anauza laki 4, amenitumia picha zimeshindwa kuatach mtafute kwa namba yake 0767763959
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom