Natafuta mbwa aina ya German shepherd

Natafuta mbwa aina ya German shepherd

Huyo huyo mkuu Rottweiler Au yule mwingine nimemsahau jina ila anaanza na herufi Bo ,huyo Rottweiler budget yangu Ni 400000 awe mdogo,
Mkuu mi kwa sasa sifugi mbwa ikwa bei hiyo jaribu kucheki kama una mtu kule SUA muulizieulizie utapata.Hata humu vuta subira tu waweza kupata japo sijui juu ya Purity ya Breed.
 
Kama unataka hawa German Shepheds OG, chihwahwa na wengine nenda Arusha au nikuconnect na machalii wa kule.
Natamfa mbwa aina ya German sherpherd long coart

Na hivyo vyeupe
Bei maelewano
 
huyu ni jamii gan!? nililetewa na mmoja kat ya mabest zangu wa Zb akiwa mdgo kama miez miwl hapo anakama miez 8 tu sasa sjui ni jamii gan!?

mwenye kujua tafdhal msaada
20210106_181305.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom