Natafuta mbwa aina ya German shepherd

Natafuta mbwa aina ya German shepherd

Kuna jamaa ni Dr of veterinary medicine nimemtumia tangazo lako amesema anao wako installed na micro chip anauza laki 4, amenitumia picha zimeshindwa kuatach mtafute kwa namba yake 0767763959
Micro chip kwaajili ya nini?
 
Kuna jamaa ni Dr of veterinary medicine nimemtumia tangazo lako amesema anao wako installed na micro chip anauza laki 4, amenitumia picha zimeshindwa kuatach mtafute kwa namba yake 0767763959
Yupo mkoa/mji gani?
 
Wakuu mna Rottweiler
Kama huyu
Screenshot_20180523-215644.jpg
 
Kuna jike pure German Shepherd anaenda kwa 1.2 Million kama uko tayari naomba unicheki mkuu +255712784472 niko mikocheni Dar es salaam
 
Puppy wa miez 4 wapo wanne, wawili (madume) hawa naweza kukuuzia

Kila mmoja utapata kwa 2.5 mil

Yupo pia jike mmoja wa miaka 2, na ana ujauzito.
Huyu anaenda 6.2 million

Unaeza mnunua huyu ukapata puppy wa kutosha
Asee! Hizo bei hao mbwa na chakula wanakuwa wanajinunulia wenyewe au nahangaika tena kuwalisha?
 
Huyo huyo mkuu ,atanisumbua Kwa namna gani kaka
Usipompa matunzo mazuri na mafunzo mazuri kwake sio shida kukurarua hata ww bosi wake,Pia hawapendi kuchanganyika na mbwa jamii nyingine na wanapokutana nao ngumi huwa kawaida tu.
 
Usipompa matunzo mazuri na mafunzo mazuri kwake sio shida kukurarua hata ww bosi wake,Pia hawapendi kuchanganyika na mbwa jamii nyingine na wanapokutana nao ngumi huwa kawaida tu.
Ok Nimekuelewa mkuu. Embu nitafutie huyo Rottweiler kaka maana hapa napoishi wameshaniibia power window mara mbili mkuu wanaruka ukuta wakati Mvua inanyeesha usiku .vipi Kwa kazi ya ulinzi si anafaa mkuu ?
 
Puppy wa miez 4 wapo wanne, wawili (madume) hawa naweza kukuuzia

Kila mmoja utapata kwa 2.5 mil

Yupo pia jike mmoja wa miaka 2, na ana ujauzito.
Huyu anaenda 6.2 million

Unaeza mnunua huyu ukapata puppy wa kutosha

Naona German shepherd wamekuwa bei gali kuzidi Rottieweilers
 
Anafaa but Germany shepherd ndo poa zaidi maana ana akili nyingi,mtiifu na mwenye kuelewa commands mbalimbali ila huyo unayemtaka mh mkuu mwisho utakuja kumlima bullet nahisi.
 
Anafaa but Germany shepherd ndo poa zaidi maana ana akili nyingi,mtiifu na mwenye kuelewa commands mbalimbali ila huyo unayemtaka mh mkuu mwisho utakuja kumlima bullet nahisi.
Huyo huyo mkuu Rottweiler Au yule mwingine nimemsahau jina ila anaanza na herufi Bo ,huyo Rottweiler budget yangu Ni 400000 awe mdogo,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom