Natafuta mbegu za microgreen vegetables aina zote

Shalom shalom hamjambo hapo haifa ? Ngoja wayahudi wanakuja kukujibu rabon
Hiyo ni lugha tu mkuu haina uhusiano na mada yangu. Kwa hiyo ningeandika "hello" waingereza wangekuja kunijibu? Let's be serious sometimes when it comes to serious matters and not to clog a thread with out-of-topic replies.
 
Shalom! Naomba kwa yeyote mwenye mbegu za microgreens kama leek, radish n.k tuwasiliane anipe specifications na
Habari ndugu. Kwa uelewa wangu, hakuna specific mbegu kwa ajili ya microgreens. Ni hizo hizo tunazotumia kupanda hadi mazao yakakomaa ila unawahi kuvuna pale inapochipua.
 
Habari ndugu. Kwa uelewa wangu, hakuna specific mbegu kwa ajili ya microgreens. Ni hizo hizo tunazotumia kupanda hadi mazao yakakomaa ila unawahi kuvuna pale inapochipua.
Asante sana. Nilifikiria pia kwa namna hiyo lakini kwa vile mimi nilikuwa nimejikita kwenye ufugaji miaka ya nyuma nikasema nije hapa kuuliza. Labda nifanye majaribio kuona zipi zina germination period fupi maana nimejaribu kuuliza maduka ya Arusha hakuna mwenye hizo ambazo mitandaoni zinatangazwa kama microgreens. Ninakushukuru sana kwa mchango wako. Kama kuna la ziada umaweza kunijuza. Asante sana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…