Huwa zina tabia ya kuganda kwenye utumbo na kupelekea ile sehemu kuoza kabsa. Uhakika zaidi nenda kamuulize daktari haswa wale waliosoma au kupata kozi ya mafunzo nje ya nchi.
NOTE: Huwa zinatoa kitu kama inta ( gundi) pale zinapokutana na rojo lisilokuwa na maji maji ya kutosha hivyo huwa zina tabia ya kijikusanya pamoja na kutengeneza kitu kigumu kilichojishikisha kwenye utumbo na badae kuifanya ile sehemu kuoza bila ww kujijua hadi mauti.
NB: Hili ni angalizo na si kwamba kila mtu akitumia atakuwa ivyo ila bora ukajiepusha kutumia kuliko wewe kuwa mfano.
Sent using
Jamii Forums mobile app