Shukran sana utaratibu wao ukoje? Unahitaji muda mrefu au unaweza toka Dar na kurudi siku hiyo hiyo? Na bei gani wanauza? Kama una simu yeyote tafadhali naomba.Jikaze uende SUA morogoro utapata migomba mizuri na isiyo na magonjwa
Kweli kbsa na pia dawa yake ni ipi??Migomba Imeugua ugonjwa Wa Ajabu kwa sasa
pia Mapapai nayo yamefuata
Sina namba lakini ungepata muda wa kwenda hungejutia.Shukran sana utaratibu wao ukoje ? unahitaji muda mrefu au unaweza toka dar na kurudi siku hiyo hiyo ? na bei gani wanauza ? kama una simu yeyote tafadhali naomba
Kama unahitaji unatoa oda ya aina unayohitaji na idadi kwa kila aina!! Kesho mapema naweza kukupatia namba. Unaweza kwenda na kurudi Dar bila shida. Bei zao zinatofautiana kwa aina ya ndizi. Ila Nadhani mche mmoja hauzidi 3500/.Shukran sana utaratibu wao ukoje ? unahitaji muda mrefu au unaweza toka dar na kurudi siku hiyo hiyo ? na bei gani wanauza ? kama una simu yeyote tafadhali naomba
Shukrani sana mkuu bahati mbaya aina zilizo nzuri sizijui kwa majina labda kama kuna yeyote humu anayejua majina anisaidie baadhi ni kama SHAKALA , WILLIAM, FHIA 17, MZUZUKama unahitaji unatoa oda, ya aina unayohitaji na idadi kwa kila aina!! Kesho mapema naweza kukupatia namba. Unaweza kwenda na kurudi Dar bila shida. Bei zao zinatofautiana kwa aina ya ndizi. Ila Nadhani mche mmoja hauzidi 3500/.
Mtafute huyu hapa Lily TonyShukran sana utaratibu wao ukoje ? unahitaji muda mrefu au unaweza toka dar na kurudi siku hiyo hiyo ? na bei gani wanauza ? kama una simu yeyote tafadhali naomba
Ziko aina tofauti tofauti kamaShukrani sana mkuu bahati mbaya aina zilizo nzuri sizijui kwa majina labda kama kuna yeyote humu anayejua majina anisaidie baadhi ni kama SHAKALA , WILLIAM, FHIA 17, MZUZU
Na mimi pia nina shamba langu posta mpya.......migomba 50 - 100 hivi inatosha........nataka ndizi mshale laini....Wajumbe natumaini hamjambo.
Naomba kwa yeyote anayejua namna ya kupata mbegu nzuri ya migomba kwa maeneo ya karibu ndani ya jiji hili la DAR
Mahitaji yangu sio makubwa kama 100 hadi 200 kwa kuanzia. Ziwe za kupika na kuivisha pia.
Karibu tukuhudumie mkuu, niko SUA Horticulture. Tuna miche ya matunda lakini pia migomba ipo, bei ya mche ni sh 3500 lakini ukichukua kuanzia miche 50 bei ni sh 2500.Shukran sana utaratibu wao ukoje ? unahitaji muda mrefu au unaweza toka dar na kurudi siku hiyo hiyo ? na bei gani wanauza ? kama una simu yeyote tafadhali naomba
Karibu boss, kwa idadi hiyo(50-100) utapata punguzo la bei ya mche, kutoka 3500 mpaka 2500. Karibu sanaNa mimi pia nina shamba langu posta mpya.......migomba 50 - 100 hivi inatosha........nataka ndizi mshare laini....
Haina shinda mkuu, Nimeamua kujipendekeza😎 labda naweza pata ofa ya mche hata mmoja wa Dodo au red india 🥭🥭 😁Nimefika eneo la tukio,asante mkuu kwa kuniita😊
Nichek Pm mkuu,offer ya mche wa red indian ipo.Kama uko Moro nakuletea mpaka mlangoniHaina shinda mkuu, Nimeamua kujipendekeza😎 labda naweza pata ofa ya mche hata mmoja wa Dodo au red india 🥭🥭 😁