Natafuta mbegu nzuri za Migomba kwa Dar es Salaam

Pia sasa hivi kuna ugonjwa umeingia kwenye migomba sijajua ni ugonjwa gani, upo sana maeneo ya Dar huko sijui unafahamu hilo mkuu?
 
Migomba Imeugua ugonjwa Wa Ajabu kwa sasa
pia Mapapai nayo yamefuata
 
Shukran sana utaratibu wao ukoje ? unahitaji muda mrefu au unaweza toka dar na kurudi siku hiyo hiyo ? na bei gani wanauza ? kama una simu yeyote tafadhali naomba
Kama unahitaji unatoa oda ya aina unayohitaji na idadi kwa kila aina!! Kesho mapema naweza kukupatia namba. Unaweza kwenda na kurudi Dar bila shida. Bei zao zinatofautiana kwa aina ya ndizi. Ila Nadhani mche mmoja hauzidi 3500/.
 
Kama unahitaji unatoa oda, ya aina unayohitaji na idadi kwa kila aina!! Kesho mapema naweza kukupatia namba. Unaweza kwenda na kurudi Dar bila shida. Bei zao zinatofautiana kwa aina ya ndizi. Ila Nadhani mche mmoja hauzidi 3500/.
Shukrani sana mkuu bahati mbaya aina zilizo nzuri sizijui kwa majina labda kama kuna yeyote humu anayejua majina anisaidie baadhi ni kama SHAKALA , WILLIAM, FHIA 17, MZUZU
 
Shukrani sana mkuu bahati mbaya aina zilizo nzuri sizijui kwa majina labda kama kuna yeyote humu anayejua majina anisaidie baadhi ni kama SHAKALA , WILLIAM, FHIA 17, MZUZU
Ziko aina tofauti tofauti kama
Mzuzu
Matoke
Mshale
Malindi
Mkono wa Tembo
Kisukari
Bukoba
Uganda green
William
 
Wajumbe natumaini hamjambo.

Naomba kwa yeyote anayejua namna ya kupata mbegu nzuri ya migomba kwa maeneo ya karibu ndani ya jiji hili la DAR

Mahitaji yangu sio makubwa kama 100 hadi 200 kwa kuanzia. Ziwe za kupika na kuivisha pia.
Na mimi pia nina shamba langu posta mpya.......migomba 50 - 100 hivi inatosha........nataka ndizi mshale laini....
 
Shukran sana utaratibu wao ukoje ? unahitaji muda mrefu au unaweza toka dar na kurudi siku hiyo hiyo ? na bei gani wanauza ? kama una simu yeyote tafadhali naomba
Karibu tukuhudumie mkuu, niko SUA Horticulture. Tuna miche ya matunda lakini pia migomba ipo, bei ya mche ni sh 3500 lakini ukichukua kuanzia miche 50 bei ni sh 2500.

Gharama za usafiri kutoka Moro-Dar kwa pacel moja ni sh 13000. Ambapo pacel moja inakuwa na miche isiyozidi 50.

Mchanganuo wa nauli
3000- ni nauli ya boda kutoka SUA mpaka Msamvu
1000- Kitorori ndani ya stend
11000- nauli Moro-Dar

Namba zangu 0719527062/0757056472 karibu Pm pia kwa maswali na maelezo zaidi
 
Aina za ndizi zinazofaa kwa kupika, kuchoma na kukaanga ni Mzuzu, Mshale, Matoke, Mkono wa tembo, Jamaica

Aina za ndizi zinazofaa kama tunda
Kisukari, Malindi, Mtwike

Kwa eneo la eka 1, space ya 3*3m, urefu wa shimo ft2, miche 520-530 inatosha
 
Na mimi pia nina shamba langu posta mpya.......migomba 50 - 100 hivi inatosha........nataka ndizi mshare laini....
Karibu boss, kwa idadi hiyo(50-100) utapata punguzo la bei ya mche, kutoka 3500 mpaka 2500. Karibu sana
 
Haina shinda mkuu, Nimeamua kujipendekeza😎 labda naweza pata ofa ya mche hata mmoja wa Dodo au red india 🥭🥭 😁
Nichek Pm mkuu,offer ya mche wa red indian ipo.Kama uko Moro nakuletea mpaka mlangoni
 
IMG-20200901-WA0005.jpg
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom