BEAH NUTRI-FLOUR
Member
- Mar 7, 2018
- 30
- 11
Ninatafuta mawakala mikoa yote kwaajili ya kusambaza bidhaa zetu. Hii ni nafasi kwako kujiajiri kwa mtaji mdogo saana njoo tuongee biashara kama upo serious tupigie: 0769112563 / 0658224994
Bidhaa gani nichangamkie fursaNinatafuta mawakala mikoa yote kwaajili ya kusambaza bidhaa zetu. Hii ni nafasi kwako kujiajiri kwa mtaji mdogo saana njoo tuongee biashara kama upo serious tupigie: 0769112563 / 0658224994
Kwa hiyo ID yake lazima utakuwa unga wa bangi...Bidhaa gani hizo
Hata hasemi na yeye labda anachora watuKwa hiyo ID yake lazima utakuwa unga wa bangi...
Wanauza unga wa lisheusikute ni kuuza mafuta ya kujipaka maana mnaoficha kazi inayofanyika sio bure
daaah............ akauze na ndugu zakeWanauza unga wa lishe
Kwan kuuza mafuta ya kupaka sio kazi? Acha zarau ww!usikute ni kuuza mafuta ya kujipaka maana mnaoficha kazi inayofanyika sio bure
Unga wa lisheTaja bidhaa tukutafute
UNGA WA LISHEweka wazi ni bidhaa gani hizo ili wadau wachangamkie fursa