Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,116
Ripoti zote zinakaliwa na aluyeunda tume.NATAFUTA MATOKEO YA UCHUNGUZI WA MAJENGO YALIOANGUKA DAR ES SALAAM HASA LILE LA MJINI KWA LENGO LA KUJIFUNZA
Kwa nia njema ya kujifunza, na kama ijulikanavyo likitokea kosa au tatizo kwenye jamii ni vema uchunguzi kufanyika ili kubaini chanzo cha tatizo kwa lengo la kuepuka lisijitokeze tena
Kwa upande wa majengo magorofa hapo nyuma kdg yalianguka mengi kiasi hata kwa wenzetu kenya na kusababisha vifo
Naomba kujua ni wapi nitapata matokeo ya hizo uchunguzi ?
Taarifa ya awali kwamba:-NATAFUTA MATOKEO YA UCHUNGUZI WA MAJENGO YALIOANGUKA DAR ES SALAAM HASA LILE LA MJINI KWA LENGO LA KUJIFUNZA
Kwa nia njema ya kujifunza, na kama ijulikanavyo likitokea kosa au tatizo kwenye jamii ni vema uchunguzi kufanyika ili kubaini chanzo cha tatizo kwa lengo la kuepuka lisijitokeze tena
Kwa upande wa majengo magorofa hapo nyuma kdg yalianguka mengi kiasi hata kwa wenzetu kenya na kusababisha vifo
Naomba kujua ni wapi nitapata matokeo ya hizo uchunguzi ?
Shukran sana mkuu, je hakuna mahala popote walipoweka au pa kupata hayo matokea kwa upana ?Taarifa ya awali kwamba:-
1.Nondo na ratio waliyotumia ni JAHU,hauwezi kutumia nondo za mm 10 kujenga column za kubeba ghorofa 16.
2.Ratio ilikuwa mbovu mchanga ulikuwa mwingi sana.
3.Walikuwa wanajenga kwa bandika bandua,wanapiga slab leo baada ya siku 3 au nne wanatoa marine na mirunda wanaenda floor nyingine badala ya kusubiri mwezi/siku21 za kumwagilia jamvi,
Ofisi za jamiiforums nadhan watakuwa nazoShukran sana mkuu, je hakuna mahala popote walipoweka au pa kupata hayo matokea kwa upana ?
Mkuu ngoja niulizie kwa wadau kama wanayo.Shukran sana mkuu, je hakuna mahala popote walipoweka au pa kupata hayo matokea kwa upana ?