Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,116
Kwa nia njema ya kujifunza, na kama ijulikanavyo likitokea kosa au tatizo kwenye jamii ni vema uchunguzi kufanyika ili kubaini chanzo cha tatizo kwa lengo la kuepuka lisijitokeze tena.
Kwa upande wa majengo magorofa hapo nyuma kidogo yalianguka mengi kiasi hata kwa wenzetu kenya na kusababisha vifo.
Naomba kujua ni wapi nitapata matokeo ya hizo uchunguzi?
Kwa upande wa majengo magorofa hapo nyuma kidogo yalianguka mengi kiasi hata kwa wenzetu kenya na kusababisha vifo.
Naomba kujua ni wapi nitapata matokeo ya hizo uchunguzi?