Natafuta Matofali ya kuchoma

Natafuta Matofali ya kuchoma

Kambaku

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
8,890
Reaction score
33,049
Waungwana kwema? Nataraji sikukuu yaenda vyema kabisa.

Ninahitaji matofali ya kuchoma kwa Dar es salaam wapi naweza pata? Ni haya matofali ya kuchoma ya kawaida kabisa Kama tunayotumia kujengea vijijini, msaada wakuu.

Niwatakie sikukuu njema.
 
Morogoro
 
Nenda Morogoro yapo mengi sana,
waweza kuyanunua kwa 200/= each then ukayakodia Fusso kwa hata 200,000 - 250,000 ukayajaza ya kutosha tu humo ndani.

Mfano tofali 10,000 xTshs 200 = 2,000,000
Usafiri total Tshs 250,000
JUMLA Tshs 2,250,000
 
Thanks Mkuu, wazo zuri sema nataka kidogo tu kama alfu au alfu unusu yaani. Shida tupu hii
 
Hivi vitofali ni vidogo aisee, tofali alfu unajengea nini Mkuu??
 
Ebwana vip ulifanikiwa? Nahitajibpia hizo tofali kama kuna mtu anazo kwa dar hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom