Gien Banks
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 338
- 892
zilikuwa zinatengenezwa Nyumbu Jeshini, kibaha.Naombeni kujuzwa pa kuzipata hizi mashine...na bei zake. Wengi wao wanaouza mitandaoni janja janja nyingi + hawako straight.
Nahofia hata hapa unaweza kukutana nao..!
nyumbu jeshini, kule kibaha walikuwa wakitengeneza na kuziuza, sijui kwa sasaAnzia SIDO unaweza kupata muongozo.
Zinapatikana Arusha bei 1.2mlNaombeni kujuzwa pa kuzipata hizi mashine...na bei zake. Wengi wao wanaouza mitandaoni janja janja nyingi + hawako straight.
Nahofia hata hapa unaweza kukutana nao..!