Gien Banks
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 342
- 904
Naombeni kujuzwa pa kuzipata hizi mashine...na bei zake. Wengi wao wanaouza mitandaoni janja janja nyingi + hawako straight.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827]Shallom / A.Salaam Aleykum
Husika na Kichwa Cha Habari Hapo Juu
Thanks
Naombeni kujuzwa pa kuzipata hizi mashine...na bei zake. Wengi wao wanaouza mitandaoni janja janja nyingi + hawako straight.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827]
Nahofia hata hapa unaweza kukutana nao..!
Anzia SIDO unaweza kupata muongozo.
Haya wacheki wabrazil Hawa wanazitengeneza hizi machine ila bei zao zimechangamkaLicha ya Mashine Tu (Ushauri Pia ni Mbolea)
Kuna Hydraform Interlocking Bricks na Interlocking Bricks (unaweza google chap chap kuona utofauti, zote zina almost faida sawa sawa if not completely the same but different material and shape)...
Haya wacheki wabrazil Hawa wanazitengeneza hizi machine ila bei zao zimechangamka
View attachment 1899164
Hapa bongo labda ucheki na mechanical workshop kubwakubwa wanaweza kukutengenezea kitu quality, ninayo machine mmoja nilitengeneza hapa nchini kiukweli quality yake haikunivutia pamoja na kuwa nilimpa designOk. Hapo bongo vp ?? Any connects ??
Hapa bongo labda ucheki na mechanical workshop kubwakubwa wanaweza kukutengenezea kitu quality, ninayo machine mmoja nilitengeneza hapa nchini kiukweli quality yake haikunivutia pamoja na kuwa nilimpa design
Alipozingua ni kwenye modular, Ile design ilimsumbua sana kucastDuuh ila end products vp ?? Tofali ulipata yenyewe ?? Na we pia umejenga kwa interlocking bricks ?? Nakuskiza Chief.
Ili upate product nzuri basi Kuna mambo kadhaa hakikisha unayafuataDuuh ila end products vp ?? Tofali ulipata yenyewe ?? Na we pia umejenga kwa interlocking bricks ?? Nakuskiza Chief.
Mkuu, hizi machine zipo. Zilikuwa zinauzwa na Agency ya serikali (NHBRA) iliyokuwa chini ya wizara ya Ardhi, ila Agency sasa imebadilishwa jina. Ofisi zao ziko Mwenge (Karibu na Hospital ya Lugalo/mlalakuwa).Shallom / A.Salaam Aleykum
Husika na Kichwa Cha Habari Hapo Juu...
Mbwange, kwa kusema "unaweza" unakuwa sahihi sana. Maelezo niliyompatia ni ya hakika kabisa.Nahofia hata hapa unaweza kukutana nao..!
Ili upate product nzuri basi Kuna mambo kadhaa hakikisha unayafuata
1. Uchaguzi wa udogo
2. Machine
3. Laboratory Kit
- Manual or Automatic interlocking bricks Machine
- Soil crusher machine
- Soil sieving machine or sieving
- Concrete Mixer
- Laboratory kit hapa nazungumzia zile chekeche kama zile wamama zamani walikuwa wanachekechea unga kwajili ya kutambua soil content
- Beaker or Mizani zile ndogo napendekeza digital
Uchaguzi wa udogo
Udogo unatakiwa uwe na content ya soil around 60% to 70 % ili iweze kubond vizuri na cement na pili iwe rahisi kutoa tofali kwenye mold baada ya compression
Mixing ratio
Udongo 8 to cement Moja
Wakati wa kumix material yako maji yanatakiwa ni kidogo sana yaani iweze kutengeneza kitu kama tonge like kama la ugali
Mengine wataongezea wengine. Naandika nikiwa sijatulia
Mkuu, hizi machine zipo. Zilikuwa zinauzwa na Agency ya serikali (NHBRA) iliyokuwa chini ya wizara ya Ardhi, ila Agency sasa imebadilishwa jina. Ofisi zao ziko Mwenge (Karibu na Hospital ya Lugalo/mlalakuwa).
Mbwange, kwa kusema "unaweza" unakuwa sahihi sana. Maelezo niliyompatia ni ya hakika kabisa.
Sawa sawa mkuuKaka nakuomba uki settle urudi please. Ur content is highly appreciated. Many Thanks.
Jaribu pale BICO, UDSM. Kama hawana au hawazitengenezi, basi uhakika ni kuwa wanajua mahali zinapopatikanaNaombeni kujuzwa pa kuzipata hizi mashine...na bei zake. Wengi wao wanaouza mitandaoni janja janja nyingi + hawako straight.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827]
Nahofia hata hapa unaweza kukutana nao..!
Jaribu pale BICO, UDSM. Kama hawana au hawazitengenezi, basi uhakika ni kuwa wanajua mahali zinapopatikana
Bureau of Industrial Cooperation. Ukifika UDSM ukiuliza BICO hakuna atakayeshindwa kukujibu. Actually you do not need the details of what the abbreviatiom BICO means! Ingilia lango la chuo cha maji, karibu kabisa na kantini ya wafanyakaziLong form of BICO mkuu ??