CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 157
Mkuu mashamba mazur ya umwagiliaji yapo mbalali sehem inaitwa kapunga rice estate huko unapata mashamba ya umwagiliaji vizur ila gharama zake za kukodi zipo juu
Kwa msimu uliopita ilikua 3.5m kwa plot yenye 15accre contact wana office Harbour view jaribu ku Google
Mkuu Che Guevara -II nakusalimu sana. Vipi project yako ya ufugaji ng'ombe ilifikia wapi aisee?Ngoja tusikilizie
mkuuu vp ulifanikiwaWadau, habari zenu?
Naomba msaada wenu.
Ni wapi naweza kupata maeneo ya kukodi mashamba ya mpunga wanapolima kwa umwagiliaji?
Nataka nipate sehemu ili niwe nalima mara mbili kwa mwaka.
Au ni wapi ninaweza kupata mashamba ya kununua wanapopata sana mpunga?
Na gharama zake zikoje?