King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,888
- 7,676
Naam...hakuna kukata tamaa adi kinaelewekaNami najipanga nirudi tena palepale ikwiriri tukajambiane vizuri dadeki wachawi watasanda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam...hakuna kukata tamaa adi kinaelewekaNami najipanga nirudi tena palepale ikwiriri tukajambiane vizuri dadeki wachawi watasanda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamasai Dawa yao ni Moto(Bunduki)Wakija kichwa kichwa unapiga juu,Kama hawasikii umamlenga ata Goti au mguu.Nenda Morogoro mashariki wilaya ya Ngerengere kijiji cha visaraka kipo pembeni na mto Ngerengere, changamoto ni wamasai tuu
Kiongozi hiyo Bei nikununua au kukodi? Na je hayo mashamba ni tambarare? Samahani kwa usumbufu
Shukrani
Mkuu unaweza kuainisha garama?
Mkuu unaweza kuainisha garama?
Hivi Ngerengere nayo ni Wilaya ?Nenda Morogoro mashariki wilaya ya Ngerengere kijiji cha visaraka kipo pembeni na mto Ngerengere, changamoto ni wamasai tuu
Kukodisha au kununua?Kama bado hujapata njoo pm wilaya ya kilombero tarafa ya mlimba Kijiji Cha lumumwe Kuna heka 150 zipo pembeni ya mto ushindwe wewe tu
Umenena vema, ni pazur sema mifugo ndio balaaaNenda Morogoro mashariki wilaya ya Ngerengere kijiji cha visaraka kipo pembeni na mto Ngerengere, changamoto ni wamasai tuu
Pole mkuu ilikuaje?Kuna ushwahili huko htr yaan ukanda huo noma niliwahi lima matango heka mbili nilipata roba moja tu
Sent using Jamii Forums mobile app