Natafuta mashamba ya kulima mahindi Morogoro

tanira1

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
942
Reaction score
159
Natafuta mashamba ya kulima mahindi ya kumwagilia Mororgoro yeyote yule mweneye idea wapi nitapata shamba ambalo nitaweza kuchimba kisima na maji yapatikane mwaka mzima anijulishe
 
Mkuu hayo maeneo ya rufiji kuna uchawi htr kwenye maswala ya kilimo ww uliza tu wanaolima mpunga au ufuta kwenye maeneo hayo wanavyolia ila kama ukijipanga vzr pia usitafute kibarua wa kule utalia watu wa kule wavivu kiwango cha lami wanapenda kuchoma mkaa tu na si kilimo. wanapenda pesa mnooooo kitu kidogo tu pesa, ila ardhi yao nzr mnooooo maana haijaguswa kabisa na ina rutuba.
mkuu umenichekeshaa kwanza uliposema ulipata roba mojaa kivip kilimo chako kimeharibiwa na waswahili

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu twende ukalime Bungu rufiji. Shamba lipo unapewa ulime bure
huko hapafai..kuna ushirikina sana...nililima heka mbili za mahindi..asee huwezi amini niliambulia Gunia moja na robo...kuna jamaa ndio akaja niambia kuwa ni ngumu kwa mtu wa kuja kutoboa eneo hilo.
 
Na vipi kwenye kuhusu ufugaji mkuu
Mkuu hayo maeneo ya rufiji kuna uchawi htr kwenye maswala ya kilimo ww uliza tu wanaolima mpunga au ufuta kwenye maeneo hayo wanavyolia ila kama ukijipanga vzr pia usitafute kibarua wa kule utalia watu wa kule wavivu kiwango cha lami wanapenda kuchoma mkaa tu na si kilimo. wanapenda pesa mnooooo kitu kidogo tu pesa, ila ardhi yao nzr mnooooo maana haijaguswa kabisa na ina rutuba.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hayo maeneo ya rufiji kuna uchawi htr kwenye maswala ya kilimo ww uliza tu wanaolima mpunga au ufuta kwenye maeneo hayo wanavyolia ila kama ukijipanga vzr pia usitafute kibarua wa kule utalia watu wa kule wavivu kiwango cha lami wanapenda kuchoma mkaa tu na si kilimo. wanapenda pesa mnooooo kitu kidogo tu pesa, ila ardhi yao nzr mnooooo maana haijaguswa kabisa na ina rutuba.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nililima ufuta kwa miaka 3 Tena eka 4... ahahaaa,nilikuwa naambulia klo 60 adi 100...Kilwa nyoookoo Sanaa,Ila sitakata tamaa najipanga mwakani nizame Tena porini
 
Kwa nini Morogoro? Kwako Tz maeneo unayoweza kuchimba visima na kupata maji yapo mengi tu.
 
Back
Top Bottom