Issa hayola
Member
- Feb 7, 2014
- 21
- 2
Haaaaa! Haaaa!
Natafuta marafiki wa kuchat nao na kubadilishana mawazo.
Mbona humu jf tayari tunafanya haya yote???? Au ni kp cha zaidi unachokitaka???
Habari zenu humu ndani? Ni matumaini yangu mu wazima kabisa. Natafuta marafiki wa kuchat nao na kubadilishana mawazo. Namba zangu za simu ni 0719 953 989! Ahsante.
Habari zenu humu ndani? Ni matumaini yangu mu wazima kabisa. Natafuta marafiki wa kuchat nao na kubadilishana mawazo. Namba zangu za simu ni 0719 953 989! Ahsante.
Mawazo yako yana mushkeli gani hata utake kubadilishana na mawazo yetu??
kama ni dar nenda buguruni pale sewa utawapata na kama ni mza nenda makoroboi au soko kuu wakati wa usiku jf hatuna mda wa kuchat na watoto wa sec schHa ha ha ha! Unapojibu kitu, jaribu kutumia akili kama msomi na sio unakurupuka tu! Kwa wewe uliyejibu pumba!!