Natafuta Marafiki

Natafuta Marafiki

bonna

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
855
Reaction score
520
Hi mambo zenu? nimesita kupeleka hii thread yangu kwenye love connect maana mi sitafuti mpenzi au mchumba.....natafuta marafiki umri wowote..jinsia yoyote...mimi ni male,24yrs and single with no plans of engaging now or ever.
Vigezo: awe anatumia skype atleast...na awe mwenye hekima (anajua nini cha kuongea/kufanya,wakati gani na kwa nani)

Lengo: chatting basically...having a good time and enjoying life...[life is too short to complain tuuuuu kila siku]

Angalizo: Kuna uwezekano tusikutane/tukutane physically...vyovyote vile....if you feel like having someone to chat and laugh and discuss issues...au kupunguza stress zako.. then karibu...PM me.
Naelewa kuna walio kereka na hii thread...kama ni mmoja wapo...sio shida ...just jimuvuzishe back usome threads nyingine...ahahaah :dance::dance::wave:
 
Tutor B yuko tayari kuwa rafiki wako, ila angalia kusiwe na chochote nyuma ya pazia.
 
Yakhe nimekupata yakhee..nataka mimi lipia weye nauli ya ndege eya fosi wan yakhe uje huku pemba yakhe kuna hoteli ambayo hata Obama hana hadhi ya kulala yakhe ndaka lipia weye ukae yakheee tuongee plans yakheee..............
 
chit chat ni eneo zuri sana la kupunguza stress, jaribu na kutembelea kule pia.
 
Mbona hujasema uko wapi??

Niko Dar/ working and studying, sorry didnt mention....sichagui location...as long as uko kwenye duniani...na unaishi nchi kavu ahahha we can be friends.
 
Tutor B yuko tayari kuwa rafiki wako, ila angalia kusiwe na chochote nyuma ya pazia.
I'm crystal clear katika thread yangu....ahhahaha nothing behind that..not after your money or anything,acha woga ahhaha...some of JF Members are clean. and issue nyingine....i dont guarantee personal meetings.
 
Yakhe nimekupata yakhee..nataka mimi lipia weye nauli ya ndege eya fosi wan yakhe uje huku pemba yakhe kuna hoteli ambayo hata Obama hana hadhi ya kulala yakhe ndaka lipia weye ukae yakheee tuongee plans yakheee..............
ahhahaha nimeelewa theme ya message yako...unajua kimsingi hata kuwa na mawazo kama yako tu ni kosa yakhee...lets skype and be happy for a while...sawa yakheee?:dance:
 
well, are you Gay?
Ahhahaha Hell No!! So Tanmo you dont believe that someone can stay single in life?...let me tell you/ Life expectancy in Tanzania now is 51yrs (female) and 50yrs(male) [2008 estimations]. wengi tunatumia miaka 25 kusoma...so tunabaki na miaka 25 ya kuishi with strength..toa miaka 5 ya kujipanga (hasa kwa sisi wanaume).now since we only live once..i think its best you live the best convinient way you think (ila usimu offend mtu)
Naskia sensa ya hivi karibu life expectancy imeshuka sana...ahahhaah
 
ahhahaha nimeelewa theme ya message yako...unajua kimsingi hata kuwa na mawazo kama yako tu ni kosa yakhee...lets skype and be happy for a while...sawa yakheee?:dance:
Mwambie yakhee wewe sio mwanaume karatasi yakhee
 
Am ready to share ur friendship bt I won't agree 4 us to ever meet.. Agreed?
 
Yakhe nimekupata yakhee..nataka mimi lipia weye nauli ya ndege eya fosi wan yakhe uje huku pemba yakhe kuna hoteli ambayo hata Obama hana hadhi ya kulala yakhe ndaka lipia weye ukae yakheee tuongee plans yakheee..............

wajina umenipa rays yakheee
 
Yakhe nimekupata yakhee..nataka mimi lipia weye nauli ya ndege eya fosi wan yakhe uje huku pemba yakhe kuna hoteli ambayo hata Obama hana hadhi ya kulala yakhe ndaka lipia weye ukae yakheee tuongee plans yakheee..............

ha..haa.....haaa.........haaaaa...............
teh..teeh.....teeeehh.......
 
Back
Top Bottom