Natafuta marafiki

Usiwe na haraka, taratibu utaongeza idadi tu huko facebook. Sikufahamu mkuu so nikikuadd nitakuwa labda kama nataka kuongeza idadi ila siyo rafiki wa kweli!
 
duh,kama hapa hapa JF fresh ila facebook nime deactivate account juzi
 
Usiwe na haraka, taratibu utaongeza idadi tu huko facebook. Sikufahamu mkuu so nikikuadd nitakuwa labda kama nataka kuongeza idadi ila siyo rafiki wa kweli!

Sindo mnaanza taratibu!!Leo hamjuani kesho mmejuana!
 
jaman jf na fb ni nchi mbili tofauti na hazitegemeani kabisaa , fb tumewaachia nyie msitulazimishe uraia wa nchi mbili ,mambo ya nchi hii yaan jf hayaingiliwi na nchi nyingne .elimu sent!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom