Natafuta marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo

jews1991

New Member
Dec 18, 2020
1
0
Mimi ni kijana Mwenye miaka 30, mwenye kupenda kujifunza vitu vipya kila siku either kutoka kwenye vitabu au watu au youtube and all stuff like that kifupi I'm open minded person. Niko tayari kumsikiliza mtu tukashauriana na kupeana experience.

MY CONTACTS:0719496338/WHATSAPP (0738262657)
 
Umeshatia gundu mada ya watu

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
😂😂 Samahani lakini nilisikia ulivyopotea ati ulikuwa msukule wa kibibi fulani ndugu zako walihaha sana mpaka kukutoa kwenye kwapa hilo..😂 una bahati sana na pole mno ila usirudie Tena kutudanganya humu ati kilinge kilipata mushkel tu sema na kwamba ulitekwa..🤣🤣

Watu mnapitia mambo mbalimbali sasa hapo sijui nani anatia mikosi mada ya watu..😂
 
Ngoja niongee vizuri na Mshana nione nakufanya nini we mbona mchache sana kwenye ulimwengu wa mambo mtambuka..😂

Muda si mrefu utaanza kuniita majina matamumatamu subiri tuite mizimu tuipe kuku tu ikubadili mitazamo...🤣
 
Mimi ni kijana Mwenye miaka 30,Mwenye kupenda kujifunza vitu vipya kila siku either kutoka kwenye vitabu au watu au youtube and all stuff like that kifupi I'm open minded person Niko tayari kumskiliza mtu tukashauriana na kupeana experience.
MY CONTACTS:0719496338/WHATSAPP (0738262657)
Ujifunze vitu vipya kwa wanawake!
Unayajua mambo ya wanawake wewee?
 
Mimi ni kijana Mwenye miaka 30,Mwenye kupenda kujifunza vitu vipya kila siku either kutoka kwenye vitabu au watu au youtube and all stuff like that kifupi I'm open minded person Niko tayari kumskiliza mtu tukashauriana na kupeana experience.
MY CONTACTS:0719496338/WHATSAPP (0738262657)
Mimi ni kijana Mwenye miaka 30,Mwenye kupenda kujifunza vitu vipya kila siku either kutoka kwenye vitabu au watu au youtube and all stuff like that kifupi I'm open minded person Niko tayari kumskiliza mtu tukashauriana na kupeana experience.
MY CONTACTS:0719496338/WHATSAPP (0738262657)
Mh nina was was mkubwa kuhusu dhamira yako. Urafiki unaotarajia na miaka yako ya zaidi 30. NI SAWA SIMBA KAFICHA MAKUCHA YAKE.... Tusubiri mrejesho watakaonasa mtego watatujuza.
 
Samahani lakini nilisikia ulivyopotea ati ulikuwa msukule wa kibibi fulani ndugu zako walihaha sana mpk kukutoa kwenye kwapa hilo.. unabahati sana na pole mno ila usirudie Tena kutudanganya humu ati kilinge kilipata mushkel tu sema na kwamba ulitekwa..

Watu mnapitia mambo mbalimbali sasa hapo sijui nani anatia mikosi mada ya watu..
Hizi zinaitwa ramli chonganishi

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom