Ninatafuta marafiki humu jf wa jinsia zote kwaajili ya kubadilishana nao mawazo, kuchati, kutembeleana n.k
Mimi nipo Singida, kwa aliye tayari anipm
Ewaaaa......kama upo Singida wewe ndio nilikuwa nakutaka.......nina mbaya wangu yupo maeneo hayo namsaka.......nadhani nitakutembelea siku za karibuni.......ngoja nikuPM........
mkuu nakuomba ubunye hapa utawapata wengi sana
http://www.facebook.com