Natafuta marafiki Dar jamani

Aiseeee[emoji848]
 
Waafrika tuna akili za ajabu sana. Kosa lake ni lipi hasa, kuzaliwa alivyo au ??....

Kuna watu wanapitia mazito sana kwa mentality kama hizi. Mtu akijiua tunasema ni mapenzi ya Mungu. I can feel maumivu yake
 
Me ningependa sana sema ndio Niko koromije
 
Sehemu nzuri ya kupata marafiki, download mtandao wa Tagged, andika wewe ni bisexual ili uletewe marafiki wa kike na wa kiume,

Note; ile ni dating site lakini unaweza kuifanya sehemu ya kutafutia marafiki.
Hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…