Ana udada flani hivi ila ni maleKwaiyo we ni wakike au wa kiume?
[emoji23][emoji23][emoji23] sijakuelewa vizuri... Kwamba yeye ni bisexual?Ana udada flani hivi ila ni male
Achana na mada nikuona hii bella ciao inafanya niwaze money heist season 4 inakuja lini?!Kwaiyo we ni wakike au wa kiume?
Sasa yupo mwingine ni mdada kabisa kimuonekano ila ni dume, alifukuzwa na wanakijiji kijijini kwao yupo yupo tu kitaa analala stend.. Anamuonekano mzuri sana wa kidada yaani ni beautiful.Ana udada flani hivi ila ni male
[emoji23][emoji23][emoji23] huu utani sio rafiki kabisa na mazingira ya sasaAna udada flani hivi ila ni male
hata mim nilitaka kuuliza Hilo. Kwan hata kwenye mihangaiko yake ya kila siku anakutana na majin?? Mbona huko ndo sehem marafik hutokeakama hata rafiki unatuma maombi,pesa utazipata kweli?
#si bure itakua
[emoji15][emoji15]Sasa yupo mwingine ni mdada kabisa kimuonekano ila ni dume, alifukuzwa na wanakijiji kijijini kwao yupo yupo tu kitaa analala stend.. Anamuonekano mzuri sana wa kidada yaani ni beautiful.
Mwakani 2020.. Neymar yupo ndaniAchana na mada nikuona hii bella ciao inafanya niwaze money heist season 4 inakuja lini?!
Unamaanisha kua ni shemale yani yakiume ndo inafanya kazi?!Sasa yupo mwingine ni mdada kabisa kimuonekano ila ni dume, alifukuzwa na wanakijiji kijijini kwao yupo yupo tu kitaa analala stend.. Anamuonekano mzuri sana wa kidada yaani ni beautiful.
Nmeona ila inachelewa sana ngoja nikazane na seeMwakani 2020.. Neymar yupo ndani
Sema msimlaumu jaman wengine ni introverts si kila siku utakutana na mtu mkaendana na kuanzisha convo kuna watu wanakaa hata miezi8 hajawahi pata rafikihata mim nilitaka kuuliza Hilo. Kwan hata kwenye mihangaiko yake ya kila siku anakutana na majin?? Mbona huko ndo sehem marafik hutokea
Netflix walisema january..Nmeona ila inachelewa sana ngoja nikazane na see
Sio mbali saana inabidi watoe zmeambatana mpaka mwisho kama s3 ili wasituweke pending sanaNetflix walisema january..
Mimi napenda walivokuwa wanaongea spanish...SO3 haikunivutia kama 1 & 2Sio mbali saana inabidi watoe zmeambatana mpaka mwisho kama s3 ili wasituweke pending sana
Ila anaakili sana, titi dodo, chura ya wastani....[emoji15][emoji15]