Bora nirudi zangu kijijini,
Nikaendelee kukata mkaa wangu wa enzi,
Maisha haya mama siwezi,
Najua pesa ndo zinakufanya ujisikie,
Na uweza kumnunua utakae,
(endelea,,halaf ufikiri)
Mashugamamy wa bongo hawana helaza kutosha kukulea mtoto mzuri kama wewe, ni PM kuna Muitaliano mmoja anahitaji kijana wa kiume wa kumlea, believe me utalelewa hadi uleleke!!Just PM me baby boy