Natafuta Mama Ntilie nataka nifanye naye biashara

Tyale01

Member
Sep 22, 2019
6
6
Natafuta mtu anaefanya biashara ya mama ntilie anaeijua na kuipenda kazi yake anaetamani kukuza biashara yake ila amekosa mtaji tuingie makubaliano tufanye kazi.

Naomba uwe mwaminifu na mwenye hofu ya Mungu. Tafadhali mwenye uhitaji anitafute PM.
 
At, Jelly Rymes &Ray c-Mama ntilie
Asiwe na vimaneno vya ki swahili kama "Ray c"
 
Haa 😄😃
Unafanya ~ Connection
Nimependa Hapo Hatajuta Yaani Kama Rais Wetu Asemavyo Tuchape Kazi. Maendeleo Hayana Chama
Huyu bibie nilinmulia kofia..lol..kilakitu connection..ni mamantilie wa kishua haswa!

TUMETHUBUTU TUMEWEZA tunatekeleza🗣️
 
Tunasonga Mbele
Kishindo Cha Awamu Ya Tano
Mafiga Matatu
Rais, Mbunge, Diwani

🤣🤣🤣🤣🤣 Ken wewe sio kbs yaan..nachekaga Sana na andika yako..Ila moyoni nakerekaga..hahhaa unakera hatari😆😆! Hiyo neno mafiga matatu soon itaanza sikika maskioni mwetu....!

"Mkoa wa ...Rais ametelekez ilani ya ccm kwa 100% sema woyoooooo"🤣🤣...hapo kina bia yetu wanakata mauno hatari🤭
 
Ah kama mzuri ndio inapendeza maana unajua tena uzuri wake ndio utavutia wateja...ata mie mwenyewe nitakuwa myeja wake especially kama kuna bonge la vibration huko nyuma
Hahhaa....wanaume Mungu awasaidie Sana aisee🙌🎶
 
Natafuta mtu anaefanya biashara ya mama ntilie anaeijua na kuipenda kazi yake anaetamani kukuza biashara yake ila amekosa mtaji tuingie makubaliano tufanye kazi.

Naomba uwe mwaminifu na mwenye hofu ya Mungu. Tafadhali mwenye uhitaji anitafute PM.

Mwanaume vp hafai mana na sisi tunaweza mkuu
 
Back
Top Bottom