Natafuta mahali pa kupata vocha za jumla

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
333
90
Wakuu, heshima kwenu, tafadhali naomba nisaidiwe kujua maeneo ambayo ninawwza kupata vocha za jumla za mitandao ya Tigo na za airtel.

Nilipata za voda zinazouzwa 500 nilipata kwa 450 na zile 1,000 nilipata kwa 950. Changamoto inabaki kwenye vocha za Tigo na Airtel ninazipata kwa 480 na 960.Kwa watu wanaotuletea vibandani huku.

Nilijaribu kuuliza kwenye duka la Airtel money na la Tigo pale kariakoo wote wakasema hawauzi.

Ninakibanda changu cha uwakala (M-Pesa, Tigo pesa na Airtel Money) Naona na vocha zinamzunguko pia. Kama nikiweza kujua zinapopatikana kwa jumla kwa bei nzuri nitapata chochote angalau.
 
Mkuu samahani. Na hapo unaponunua hizo za 950 na 450 wanataka kwa uchache uwanunuze za shs ngapi? Ili wakuite kua umenunua kwa jumla. Asanteeee
 
Back
Top Bottom