Natafuta mahali pa-kuhamia kimakazi kabisa

flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,861
6,343
Habarini wanajukwaa, naomba niende kwenye point moja kwamoja bila kuwachosha mimi nikijana mtafutaji elimu yangu nikidato cha4 lengo lakuuweka huu uzi natafuta mkoa au wilaya yoyote ile ambayo nitaweza kufanya kama makazi yangu kimaisha nakiutafutaji nasema hivyo kwasababu mpaka hivi sasa bado naishi mkoa ambao nimezaliwa nakukulia japo kuwa nimepanga chumba naninajitegemea kwakila kitu ila sipendelei kuendelea kuishi mkoa ambao kwaasilimia kubwa najulikana yaani ndio nyumbani kabisa. Lengo lakuja kwenu nikupata wenyeji ambao niwajasilia Mali wadogowadogo ambao watanishika mkono kwenye hatua zamwanzo nakimtaji changu kidogo yaani in short natafuta wazoefu.

Kuhusu uwajibikaji nashukuru mungu kanijaalia namara nyingi huwa nipo tayar kwakazi mda wowote ule ilimradi kazi/biashara iwe halali naisiyoshusha utu wangu namikoa ninayopendelea kuishi nimwanza, shinyanga wilaya ya kahama, morogoro na dar kwahiyo naomba kama kuna mtu anapatikana maeneo hayo nanimjasiriamali naomba anijuze nakuhusu biashara nipo tayar kufanya biashara yoyote ile au kazi yoyote ile yenye maslahi nakuhusu mtaji wangu bado mdogo nikama lak 8 tu,

Nitashukuru kama mtajitokeza ila sio lazima iwe nimikoa hiyo niliyoitaja mnisamehe kwauandishi wangu mbovu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom