Msaka_uchawi
Senior Member
- Feb 16, 2017
- 104
- 214
kabatini hakatakuwa safe kwa kweli ,Hahaha njoo nikuwekee kabatini kwangu
ukhty nimepatia jina au nimekosea?Aisee
Umepatia kabisaaaaukhty nimepatia jina au nimekosea?
ok nikahisi labda mie ndo nimekoseaUmepatia kabisaaaa
Hahah una hofia kataliwa na panya ninii? Basi ntahamishia kwenye frijikabatini hakatakuwa safe kwa kweli ,
kama waamua kunihifadhi nihifadhi tu jumla maana kamji haka kashakuwa kagumu
kanatafuta pakujisitiriii [emoji31] [emoji31] [emoji31]Mtume karoho kakooo
Huko ndo utakauwa kabisa maana hakataweza himili baridi kanataka jotrooooo[emoji87]Hahah una hofia kataliwa na panya ninii? Basi ntahamishia kwenye friji
Hujakosea mie ndo nilikosea unatak kanafasok nikahisi labda mie ndo nimekosea
hamna kanafasi kakuweka karoho kangu?
Ndio nataka kanafasi kakuweka karoho kanguHujakosea mie ndo nilikosea unatak kanafas
hao panya ndo nawajaribu kuwakwepa maana ukiwapa moyo watautafuta woteee watakuacha huna kituChonde chonde mkuu,hali tete kuna vipanya vina meno ya chuma apa dalisalama,...vinakula ata mishipa
hao panya ndo nawajaribu kuwakwepa maana ukiwapa moyo watautafuta woteee watakuacha huna kitu
ndomana natafuta kasehemu ambapo kako safe [emoji2] [emoji2] [emoji2]