uwezi amini mzee,ata mi mwenyewe siamini.ila ndio matokeo inanibidi nikubaliane nayo nitafute njia zingine kama hivi.
halo kwa wadau wote wa jf.mimi ni kijana wa miaka 30,nashindwa kumtongoza mwanamke kwani nnapo muona demu mzuri hua nashindwa kuongea kabisa!sasa naomba msaada wenu:niwapate wapi mademu ambao hawasubiri kutongozwa ila wao ndio wanaanzisha mchezo??natanguliza shukrani zangu.
mhhhhhh
hujalala tu ze boss
Tulia mtoto wa kiume,jiachie nikupe raha za dunia utakuwa kila saa,kila nukta unamkumbuka shosti mtoto wa kitanga na raha zake:lol:sijalala.upo mpenzi...
nimeona sehemu wataka kumchua mtu tigo,nimeshtuka...
utanifanya nikiwa na wewe niwe on guard 24/7 lol
Tulia mtoto wa kiume,jiachie nikupe raha za dunia utakuwa kila saa,kila nukta unamkumbuka shosti mtoto wa kitanga na raha zake:lol:
Taboo kitu gani na mnyamwezi ndio nini,utachuliwa na mguu sawa utakaa.raha zote unipe,kasoro hiyo ya kuchuliwa huko lol..
mim mnyamwezi bana,mengine kwetu ni taboo lol
Taboo kitu gani na mnyamwezi ndio nini,utachuliwa na mguu sawa utakaa.
you are so determined......
Njo huku nikutongoze.
Kwanza jiamini pale unapo mtokea demu,hata akikukataa vuta subira mwambie mie nataka uwe mke wng,nadhani kwa umri ulio nao ndugu yangu ni vizuri ukatafuta mke na sio demu wa kuchezea.Muombe Mungu 2 atakupa mke mzuri na atakaye kufaa maishani.
Oohh dear pole sana. .
Sasa tunaanzaje ..