Natafuta machine ya ku print T-Shirts

Natafuta machine ya ku print T-Shirts

Angalia kwenye Mitandao hususani Alibaba Kuna mashine ndugu yangu alinunua Na nilichokumbuka aliniambia kuagiza mpaka inafika Ilimgharimu Kiasi cha Sh Milioni 12 jaribu kutafuta huko utapata ndugu
 
Njoo ni kuuanganishe na supplier wa funsun printers anaitwa levis hata sie tumenunua kwao mashine zetu za offset,uv,vinyl,T-shirt.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu natafuta Vinyl decals za rangi mbali mbali wapi naweza pata kwa bei nzuri
41pvskPd++L._SX425_.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom