Natafuta Lori kwa ajili ya kusafirisha mizigo Dar - Arusha

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
1,002
2,272
Habari zenu wakuu,

Kuna vifaa vyangu vichache ninahitaji kuvisafirisha kutoka Dar kwenda Arusha. Vitu vipo hapa Ubungo Kibo kituo cha madalali. Ninaomba mwenye taarifa ya lori lenye nafasi kutoka Dar kwenda Arusha leo anisaidie namba au aje inbox.

Bei iwe ya kikulima. Asanteni.
 
Ni lazima leo tu? Mana kuna fuso inaleta mzigo huko Dar itafika hope saa 8 usiku kariakoo na litageuza so kama ni lazima leo hapo sijui nitakusaidiaje
 
Ni lazima leo tu? Mana kuna fuso inaleta mzigo huko Dar itafika hope saa 8 usiku kariakoo na litageuza so kama ni lazima leo hapo sijui nitakusaidiaje
Uwii naomba unisaidiee kwa leo
 
Nenda jagwani pale nyuma ya makao ya mwendo kasi vuka barabara utakuta mafuso mengi yanaenda moshi arusha na mikoa mingine,kila siku uongee nao ni bei rahisi tu mfano kiroba cha kilo 50ni elfu 3
 
nenda jangwani pale ..na kama ni mgeni ninaweza kupa contact ya ustadhi mmoja a very faithful man anaitwa Hamis,nimekua nikimtumia huyu kusafirisha vitu vingi mkoa wowote ule hapa tanzania.
ukienda kichwa kichwa pale unaweza ukalia.
 
Back
Top Bottom