Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Riba ni maelewano kama you can assist niPM nikupe details for more communicationunarudisha kwa interest ya shiling ngapi?
Rehani inategemeana na mtoa mkopo lakini naweza weka gari au hata hati ya kiwanjautaweka nini rehani? mana ni ngumu kumwamini mtu unajua!
Wakuu,
Nina shida na kama 5m nahitaji loan ASAP will pay back in two installments in two months najua kuna wanaotoa huduma hii (sio bank) kama unamfahamu mtu wa kunisaidia please PM me
Rehani inategemeana na mtoa mkopo lakini naweza weka gari au hata hati ya kiwanja
Masharti tight kidogo mkuu legeza kiainaUnaweza kuweka rehani ya gari lisilopungua thamani ya 10m? Uko tayari kwa riba ya 20% (sio mwanamuziki lakini) but kwa repayment moja after 30 days?
Pajero IO 5 doorshata mimi ninazo hapahap gari gani unaweka rehani?
Rehani inategemeana na mtoa mkopo lakini naweza weka gari au hata hati ya kiwanja
Kipo Kigamboni mkuuMkuu kiwanja kiko maeneo gani?., kama vipi niuzie hicho kiwanja.
Kipo Kigamboni mkuu
Pride utaratibu/masharti yako vipi na riba ni kiasi gani?Nenda Pride Kariakoo utapata mkopo na muda wa kutosha kurudisha na riba juu. Mambo ya kuweka gari nk ni njia rahisi ya kupokonywa gari na kusababisha usiweze kuzitumia vizuri pesa utakayokopa - nended leaders club (jirani) uone magari ya watu yaliyokamatwa na wenyewe wameyasahau kutokana na ukapa
Kipo Kigamboni mkuu
Kibada kaka sm 980 karibu na barabara kabisa pls niPM for morekigamboni sehemu gani? Kibada,Tuangoma au kisota?square meter ngapi?
kimfaacho mtu chake,nijulishe status ya mahitaji yakoje .