Natafuta line za uwakala na pia naombeni ushauli pia

AganoJipya

Member
Jan 24, 2019
29
37
habar zenu wakuuu! binafsi niko powa,,nielekee kwanza kwenye mada mimi ni mjasiriamali nahtaj kufungua kibanda cha mpesa na tigo pesa ila kwa bahat mbaya sina kitambulisho chochote cha utaifa ambacho kingenisaidia kujisajili binafsi kama wakala pia process za kufatilia kitambulisho ni ndefu ikiwa tayal nipo pekee angu kibandan ninapouza vitu vidogo dogo kiufupi mda unanibana sana hivo nimeamua kutafuta line za uwakala mitandao tigopesa na mpesa kutoka kwa mtu pili naomba ushauli kwamba ni faida na hasara gani nitazipata ikiwa nimenunua line ya uwakala kwa mtu ?
#naomba kwa yeyote anayeuza line aje pm
#naombeni ushauli wenu juu ya suala hili nisije nikawa na haraka ingali kuna negative effect nying
Mahali nilipo ni ubungo Dar
Karibuni tafadhal kwa michango yenu
 
Mungu akufanyie wepesi katika hii biashara

Madhara ni pale uatakapo poteza lain
Namna ya kuiswap

Mengne ni pale utakapo uziwa laine yenye uatata wa mmiliki

Na mengne huja automat kulingana na unavyo endesha biashara zako

Faida utaipata kulingana na mzunguko wa miamala unavyo Fanya

Ila epuka utapeli ni mwingi sana kwenye hii biashara
 
Mku kama hujapata ipo ya Tigo

Back
Top Bottom