Ni hatua gani zinahitajika kupitia ili nipate line za uwakala?

Chifyono

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
921
1,658
Habari wakuu wa mtandao pendwa JF hapa nchini

Binafsi natamani kufungua biashara ya kufanya miamala ya pesa kupitia simu
Nahitaji wataalamu mnipe utaratibu wa kuanza biashara hii, mtaji upo ninachokihitaji ni kufahamu hatua zipi nitapitia ili niweze kupata line za uwakala

Line za uwakala Tigo, mpesa, halopesa na airtel money ninazipata kwa gharama ya kiasi gani?

Pia naomba kujuzwa namna ya kuwa wakala wa benki mbalimbali kama vile CRDB na NMB

Asanteni
 
Kwa Sasa Line ni vizuri Kuzipata kutoka Ofisini kwa Mtandao wenyewe
Maana kuna hatua ya Kwenda kujisajiri BOT baada ya kupata line za uwakala hivyo huwez nunua line kwa mtu
Kule Ofisi za Mtandao nadhani wanahitaji leseni ya biashara ili upatiwe line, gharama zake sijajua
 
Shukrani sana mkuu

Sasa hiv mambo yamebadilika usinunue laini kwa mtu japo mimi nilianza na lain za kununua ila sasa nina lain zenye jina langu. Kupata lain unatakiwa uwe na tin namba pamoja leseni ya biashara ambayo ipo hai. Ukishapa hizo document unaenda kwa wakala mkuu wa mtandao husika ambayo utalipia elfu 20 ya huduma ambapo wao wanasema kwa ajili ya mwanasheria then unasubiria baada ya mwezi kwa voda na tigo ila airtel na Halopesa wiki tu ushapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu
Maelezo yamejitosheleza

Boss nilaisi sana. Piga simu namba 0672275317

396d2be9-e2c7-4e1e-837d-b85c72e22734.jpg
 
Back
Top Bottom