Natafuta lifti ya Dar kwenda Mwanza

Natafuta lifti ya Dar kwenda Mwanza

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
589
Reaction score
278
Anaesafiri kwa gari private kesho jmosi trh 7/11 natafuta lift ya kwenda mwanza kutoka dar. Au pia usafiri gani wa basi gani ambalo ni comfortable naweza kutumia?
 
Anaesafiri kwa gari private kesho jmosi trh 7/11 natafuta lift ya kwenda mwanza kutoka dar. Au pia usafiri gani wa basi gani ambalo ni comfortable naweza kutumia?

Umeniacha na maswali lukuki....
 
Lift alafu comfortable?!, basi wewe kiboko cha mkoloni lol.
 
Duh inabidi nibaki na maswali yangu tu na kicheko fulani cha kuamsha njaa acha nikatafute msosi
 
Umekuja kuhudhuria kuapishwa Rais Dr. JPM halafu unaomba lift kurudi nyumbani kwako !!!!
 
Umeniacha na maswali lukuki....

Mkuu naogopa mada ya kwenye mabasi sasa hivi ni Magufuli tu na mimi sikumchagua kwa hiyo safari ya kutoka dar mpaka mwz itakuwa chungu. Bora nisafiri kwa private car au basi lisilo na nyomi ya watu
 
Kuna wachawi wanasafiri hiyo tarehe na ungo kama vipi nikuunganishe nao wanaondokea viwanja vya Jangwani
 
Back
Top Bottom