Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
na hilo basi unataka lifti au?
Shangaa na wewe mwenzangu,anataka lift hadi kwenye bus!
na hilo basi unataka lifti au?
Shangaa na wewe mwenzangu,anataka lift hadi kwenye bus!
Anaesafiri kwa gari private kesho jmosi trh 7/11 natafuta lift ya kwenda mwanza kutoka dar. Au pia usafiri gani wa basi gani ambalo ni comfortable naweza kutumia?
Shangaa na wewe mwenzangu,anataka lift hadi kwenye bus!